Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah TLC wee acha yani unanikumbushia wimbo wa UNPRETTYEnzi zangu niliwapenda SWV na wale wengine sijui chumvi na pilipili nikamaliza na TLC sasa nimenyoosha miguu ninyi wa kizazi hiki endeleeni na wala siwashangai ni enzi zenu.
Yule jicho la kushoto hakuwa na mchezo yule chini panapeleka watu jamaniDah
Dah TLC wee acha yani unanikumbushia wimbo wa UNPRETTY
Wanajua napendaga kuckiliza album yao 7/27 mida ya kulala au nikitoka mishemishe wana track kali humo balaa km no way, gonna get better, i lied, the life, dope, write on me n nyinginzo album yao n kali hamna ngoma mbovuWanaitwa Fifth Harmony... Hawa wadada wanaweza mpaka wamepitiliza.. Kila nikisikiliza Sledgeharmer, Worth It, Work from home na kazi yao inayotamba kwa sasa waliyoimba na Fetty Wap sioni wa kuwafikia!!
Kidogo Little Mix wanawafuatia!!
View attachment 372481
View attachment 372482