manushiboy
Member
- Aug 3, 2011
- 34
- 9
kweli demu wako akikuacha akaolewa alafu tukio hilo alikufahamisha ukakubali aolewe, sasa anarudi anakuambia eti siku hadi siku hawezi kuishi na mme wake kwani anakuhitaji aishi na wewe, akidai eti wewe ndie chaguo lake la kweli, what is opinion my people???????
mke wako kigeugeu,dactari kigeugeu,kondacta kigeugeu,mwenye nyumba kigeugeu!!!! nowdayz watu wote vigeugeu!ameona mambo kule magumu anarudi kwako.............kama wewe ulikuwa chaguo lake kilichosababisha kuolewa na mtu mwingine ilikuwa nini......ana tamaa/kigeugeu............achana nae asijekuletea matatizo haswa kwa huyo mumewe