Inawezekana jamani?

NARE

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
36
Reaction score
6
jaman naomba kuuliza inawezekana kutembea na msichana mwenye HIV na usipate maambukizi kwa mshindo mmoja bila kuchubuka?
 
Possibility ipo... Ila kaonane na wataalam wa hayo mambo because its not always the case! Unajuaje km hukuchubuka manake mda mwingine waweza chubuka bila hata ya kuhisi maumivu yoyote.
 
jaman naomba kuuliza inawezekana kutembea na msichana mwenye HIV na usipate maambukizi kwa mshindo mmoja bila kuchubuka?
Lazma utakuwa umekwa, labda kama wewe ni jakobu kzuma
 
100%...israel anaitaji kukurudisha ulikotoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…