Inawezekana kubadilisha mshenga?

Inawezekana kubadilisha mshenga?

paka_wa_Simba

Member
Joined
Jan 23, 2021
Posts
51
Reaction score
114
Habari wadau.. kuna jmaa yang alitaka kuposa kwenye mji flan hapa Dom , akatafuta MSHENGA akapeleka posa na kukubaliana mahali.. Lakini changamoto inakuja muhusika anapotaka kutoa/kupeleka mahari ; MSHENGA anakuwa anamambo mengi,, je jamaa anaweza kubadili MSHENGA na kupeleka hio mahari?

Maana hela/mahali hio kaipata kwa kuungaunga mno anaogopa asijechelewa kuipeleka then ikatokea dharuraa na akapita nayo; [emoji2] .... Anaomba ushauri katika hilo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sidhani kama kuna shida kubadili Mshenga, kuna mmoja naye tokea siku ya kujitambulisha kwa Wakwe mara ya kwanza hadi ndoa kufungwa kulikuwa na washenga watatu hii ilitokea kwasababu ya majukumu yaliyokuwa yanamkabili Mshenga wa kwanza.
 
Shukrani,, nakuchek nikuunganishe nae! Ila kama upo Dom
 
Back
Top Bottom