STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 837
- 672
mbinu ambayo hutumia ni kuharibu kura ya wapinzani ili kura zisitoshe kwa mfano kura akipigiwa lipumba na mafisudi hawa mtaki, basi itaongezwa tiki nyingine kwa sema kikwete au slaa, hivyo wakati wa kuhesabu kura hakikisheni hakuna mwenye kalamu.