Si rahis. Wahudhuriaji wengi wa hizo tafrija huwa wametoa michango so wakifika kweny event ni kula na kunywa. Sidhani kama kuna mtu yupo tayar kutoa hata sh. 500 kwa ajili ya kinywaji binafsi.Habari wakuu katika harakati za kuongeza kipatao kuna wazo likanijia.
Mara nyingi tumezoea kwenye sherehe kama harusi,sendoff na sherehe kama hizo za nyakati za usiku kunakuwa na vinywaji mbalimbali vikali na laini.
Hv is it possible kwa kufanya biashara ya fresh juice katika sherehe kama hzo.
Nawasilisha
Goood idea chief nawaza fanya ivoSi rahis. Wahudhuriaji wengi wa hizo tafrija huwa wametoa michango so wakifika kweny event ni kula na kunywa. Sidhani kama kuna mtu yupo tayar kutoa hata sh. 500 kwa ajili ya kinywaji binafsi.
May be uongee na wenye event kuwa iyo juice yako iwe moja ya kionjo. Au item kweny meal package yao
Pamoja mkuuGoood idea chief nawaza fanya ivo