KABONYELLA KELVIN
Member
- Feb 3, 2014
- 31
- 42
OkayNunua engine mpya tuu.
Ushauri mzuri sana, hongera kwa upendoKilometer 200000 ni chache sana Kwa gari Kaka. Kwa uzoefu wangu na 1G ni injini ngumu sana na pia injini zake ni Bei rahisi mno
Sasa sijui una nguvu kiasi gani za mfukoni...
Asante sana kaka! Kwa kuwa naipenda gari yangu 500000/= si kitu kikubwa ukilinganisha na mapenzi yangu kwa gari zenye 1G VVTI.Kilometer 200000 ni chache sana Kwa gari Kaka. Kwa uzoefu wangu na 1G ni injini ngumu sana na pia injini zake ni Bei rahisi mno
Sasa sijui una nguvu kiasi gani za mfukoni...
Asante mkuuWala usinunue engine mpya wala kufanya overhaul.Tatizo linaonekana ni piston zimejichimba shimo pamoja na piston rings zimekufa kwa hiyo oil inavuja na kwenda kuunguzwa kwenye combustion chamber pamoja na mafuta.Mwarubaini hapa badili piston pamoja na piston rings.
Mpya 1g? , Labda kama unazungumzia used.Nunua engine mpya tuu.
Nafikiri alimaanisha used kakaMpya 1g? , Labda kama unazungumzia used.
Shida ya ku over haul engine za kijapan ni material utakazopata kwenye spares ulizinunua !Kilometer 200000 ni chache sana Kwa gari Kaka. Kwa uzoefu wangu na 1G ni injini ngumu sana na pia injini zake ni Bei rahisi mno
Sasa sijui una nguvu kiasi gani za mfukoni....
Kufanya overhaul kwa laki tano ni bora ununue mswaki ambao si zaidi ya laki 6Asante sana kaka! Kwa kuwa naipenda gari yangu 500000/= si kitu kikubwa ukilinganisha na mapenzi yangu kwa gari zenye 1G VVTI.
BARIKIWA SANA MKUU
Kwa hiyo mswaki unakuwa na components hizo zinazotakiwa kwenye overhaul?Kufanya overhaul kwa laki tano ni bora ununue mswaki ambao si zaidi ya laki 6
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mswaki ni engine kamili isipikuwa vile vitu vya nje vinakuwa vimeondolewaKwa hiyo mswaki unakuwa na components hizo zinazotakiwa kwenye overhaul?
Ohoooo sawa mkuuMswaki ni engine kamili isipikuwa vile vitu vya nje vinakuwa vimeondolewa
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba nitoe matongotongo.Hivi kwa mfano labda katika gari yangu piston zimeisha au tuseme zimechimbika shimo na rings pia zimekufa kiasi kwamba oil inavuja kwenda kwenye combustion chamber.Je,kitendo cha kubadili hizo piston pamoja na rings pia kinaitwa engine overhaul?Shida ya ku over haul engine za kijapan ni material utakazopata kwenye spares ulizinunua !
mara nyingi vitu kama piston ,rings , seals , zinakuwa na ubora hafifu kuliko zile genuine parts.
Kukata mzizi wa fitna watu wananunua used engines
Unadhani mswaki ni shilingi ngapi kaka?Nunua mswaki tu wala si gharama
Umemaliza kila kitu..ushauri murua kabisa huu na hizi mambo unajuaKilometer 200000 ni chache sana Kwa gari Kaka. Kwa uzoefu wangu na 1G ni injini ngumu sana na pia injini zake ni Bei rahisi mno
Sasa sijui una nguvu kiasi gani za mfukoni.
Ila fanya overhaul si pesa nyingi. Kwa mfano gari kama Noah 3s injini zinakuja na tatizo hili ( used Noah) issue hapo ni valve seal na piston rings uliza mtu yeyote amenunua Noah used lazima Ile oil.
Wewe overhall gari hiyo itakuwa mpya kabisa. Ukipata fundi mzuri utaenjoy.
Overhall kit ya hiyo gari ni bei Chee sana, gharama za fundi itategemea na fungi wako ila.
500000 inatosha kabisa kununua overhall kit+fundi+ silcon+ na vitu vingine vidogo vidogo
Mzee unaipenda 1G...mimi naipenda sana 1JZ..haswa ikiwa kwenye JZX110Asante sana kaka! Kwa kuwa naipenda gari yangu 500000/= si kitu kikubwa ukilinganisha na mapenzi yangu kwa gari zenye 1G VVTI.
BARIKIWA SANA MKUU