Inawezekana kufikia malengo yangu nikienda college baada ya form 4 kusomea udaktari?

  • Inawezekana

    Votes: 3 75.0%
  • Haiwezekan

    Votes: 1 25.0%

  • Total voters
    4

amethyst jayz

New Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Sorry guyz mm nimemaliza form 4 na nimepata 1.7 NECTA with A tisa na B moja ila nataka kuwa doctor and sitaki kwenda A level because naogopa physics na Biology itaniangusha and sitoweza kupata chuo kizuri so ninaweza kwenda college na ninaomba faida za kwenda college instead of A level
 
Hii 1.7 umeipataje mpaka uogope high school?
 
Sorry guyz mm nimemaliza form 4 na nimepata 1.7 NECTA with A tisa na B moja ila nataka kuwa doctor and sitaki kwenda A level because naogopa physics na Biology itaniangusha and sitoweza kupata chuo kizuri so ninaweza kwenda college na ninaomba faida za kwenda college instead of A level
Chai.

Kwa uandishi huu huna huo uwezo wa kupata single digit (one ya saba).
 
Back
Top Bottom