amethyst jayz
New Member
- Mar 19, 2024
- 1
- 1
Hii 1.7 umeipataje mpaka uogope high school?Sorry guyz mm nimemaliza form 4 na nimepata 1.7 NECTA with A tisa na B moja ila nataka kuwa doctor and sitaki kwenda A level because naogopa physics na Biology itaniangusha and sitoweza kupata chuo kizuri so ninaweza kwenda college na ninaomba faida za kwenda college instead of A level
Halafu anataka awe daktari.Uliibia mtihani
Huyo kijana ni wa ajabu sana anataka kuua wagonjwa.Halafu anataka awe daktari.
Chai.Sorry guyz mm nimemaliza form 4 na nimepata 1.7 NECTA with A tisa na B moja ila nataka kuwa doctor and sitaki kwenda A level because naogopa physics na Biology itaniangusha and sitoweza kupata chuo kizuri so ninaweza kwenda college na ninaomba faida za kwenda college instead of A level