Inawezekana kuhama chuo kikuu baada ya kusoma semister/mwaka wa kwanza?

De black

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
52
Reaction score
0
Habari wakuu..
Naomba mwenye kujua anisaidie,mm nasoma chuo kimoja hv kozi ya BBA,lakn nmekutana na changamoto znazonkwamisha katika masomo yng sasa ngependa kujua je inawezekana kuhama chuo baada ya mwaka wa kwanza?na ni taratibu zipi nifuate?
 
hiyo hamnaga labda uache halafu utaaply upya mwaka mwingine
 
Ndo matatizo ya kutokujiamin na machagulio yako kazana soma hakuna bure bila juhudi binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…