Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
boy pole sana mwanangu,wamekuchagua wapi na wewe? Mi wamenichagua Azania hao maharo.Mwenye kulifahamu hili anisaidie,natanguliza shukurani.
Mwenye kulifahamu hili anisaidie,natanguliza shukurani.
baridi kijana mi mwenyewe nimezionaa ngoja nianz kufuatiliaNadhani inawezekana ila mpaka upewe nafasi na chuo !
Niliona mwaka jana watu walibadirishiwa kutoka shule na kwenda MUST !
ila baada ya kupewa nafasi na chuo !
Na selection zao mpaka sasa zinaoneka moe.go.tz !
Ni mawazo tu !
vipi wewe utahamia shule ganiNadhani inawezekana ila mpaka upewe nafasi na chuo !
Niliona mwaka jana watu walibadirishiwa kutoka shule na kwenda MUST !
ila baada ya kupewa nafasi na chuo !
Na selection zao mpaka sasa zinaoneka moe.go.tz !
Ni mawazo tu !
vipi wewe utahamia shule gani