Inawezekana kuhama kutoka Shule kwenda technical college?

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,672
Mwenye kulifahamu hili anisaidie,natanguliza shukurani.
 
Mwenye kulifahamu hili anisaidie,natanguliza shukurani.

Nadhani inawezekana ila mpaka upewe nafasi na chuo !

Niliona mwaka jana watu walibadirishiwa kutoka shule na kwenda MUST !

ila baada ya kupewa nafasi na chuo !
Na selection zao mpaka sasa zinaoneka moe.go.tz !

Ni mawazo tu !
 
baridi kijana mi mwenyewe nimezionaa ngoja nianz kufuatilia
 
Nadhani inawezekana ila mpaka upewe nafasi na chuo !

Niliona mwaka jana watu walibadirishiwa kutoka shule na kwenda MUST !

ila baada ya kupewa nafasi na chuo !
Na selection zao mpaka sasa zinaoneka moe.go.tz !

Ni mawazo tu !
vipi wewe utahamia shule gani
 
vipi wewe utahamia shule gani

Sidhani kama ntahama !
kumbe PCB ipo !
Afu nipo na wana kibao wanatoka Mbeya !

Kuna jamaa wanaenda MIST afu wanalalamika kinoma !

Mtu unachagua DIT wanakupeleka MIST archtecture ambayo hata aukuchagua !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…