Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kua na interest nyingi in solitary activities like reading, writting, painting, cycling hicking etc, na uenjoy kweli kua na muda wa kukaa peke yako. Ila jichanganye sana na marafiki wakiume na wakike usiwe disconected na reality.Mara zote nimekuwa nikipata girlfriend wasio na upendo wa kweli kwangu.sasa nimeona inatosha...naona nazinguliwa sana...ni mitindo gani ya maisha unatakiwa uende nayo ili uweze kuishi single?
yahhh!hilo nalo neno!unaweza tafuta marafiki wa ukweli sana yaani kuwa bize na kazi wkdayswkend kula bata sana pia shinda shinda jf siku zinaenda
Mimi kwangu hata kama ikitokea nimetendwa,....life goes on,...upweke oooooh no.