UKARIMU Member Joined Aug 6, 2020 Posts 9 Reaction score 8 Feb 25, 2021 #1 Kuna uwezekano kisheria kuishitaki NSSF mahakamani kwa kutolipa mafao ya mwanachama kwa wakati na ilipe fidia ya madhara aliyopata mwanachama kwa mafao yake ' kushikiliwa' na NSSF pamoja na gharama ya kesi? Naomba kufahamu hili.
Kuna uwezekano kisheria kuishitaki NSSF mahakamani kwa kutolipa mafao ya mwanachama kwa wakati na ilipe fidia ya madhara aliyopata mwanachama kwa mafao yake ' kushikiliwa' na NSSF pamoja na gharama ya kesi? Naomba kufahamu hili.
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,629 Reaction score 34,199 Feb 25, 2021 #2 Uwezekano upo ila mahakama huru (hasa kama Mporaji mkuu ni Dola) haipo.