Kiutu uzima inawezekana tu kuitishwa poo ili kwanza mambo ya msingi yakawekwa sawa. Twende kwa wananchi kwa haki bila kuhujumiana.
[emoji1752][emoji1752][emoji1534][emoji1548][emoji1548]
Yahitaji malenga hii
Kikubwa taratibu zisikiukwe na sheria zisivunjwe...mshindi ashinde kwa haki..na mshindwa ashindwe kwa hakiNi kwa dhati kabisa upinzani unapenda uwanja sawa wa ushindani.
Ni hilo tu na bado maridhiano yanaweza kufikiwa.
Kikubwa taratibu zisikiukwe na sheria zisivunjwe...mshindi ashinde kwa haki..na mshindwa ashindwe kwa haki
Tume imechomoa mapingamizi kwa style yakeSote tu wamoja. Pooo! Ni sehemu ya mchezo.
Kuhujumiana si lazima.
Ieleweke kuhujumiana hakuna hati miliki ya mtu, kikundi wala chama fulani.
Tunajenga nyumba moja.
Tume imechomoa mapingamizi kwa style yake
Niwape pole ya uchovu watumishi wa tume..wana masaa mengine mengi ya kukesha kabla ya October 28...uchaguzi huu ni tofauti kabisa na mingine..huu ni uchaguzi na kufundishana sheriaNatumaini ni kuwa jitihada zile hazijapotea bure. Bado kuna mapingamizi mengi ya wabunge. Haiyumkiniki akili inatuingia.
Bado kuna ma kesi ya kubumba bumba.
Wapende wasipende hali ya uwanja ni tete 'pooo' ya kistaarabu bado ni muhimu.
Tume katengeneza mazingira hayo.
Mambo ni mbele kwa mbele hakuna kulala.
Niwape pole ya uchovu watumishi wa tume..wana masaa mengine mengi ya kukesha kabla ya October 28...uchaguzi huu ni tofauti kabisa na mingine..huu ni uchaguzi na kufundishana sheria