Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Kingi nakuelewa. Lakini kama kupenda ni auto'matic' ('naturally'?) kwa nini Mungu aliwaagiza wanaume 'wawapende' wake zao? Katika maagizo haya Mungu alipotumia neno kupenda alikusudia nini?(Sorry, nimetumia biblical angle just to clarify my point).
umeshasema mke, mkuu. Hapo wameshavuka hatua ya kutakana hadi kuwa mwili mmoja.
Inawezekana sana kujifunza kumpenda mtu (ila hii wengi husema kwa mwanamke zaidi)
kuna watu huwa mrafiki kwanzoni lakini muda unavokwenda they grow feelings za mapenzi
wengine hutongozwa na watu ambao wala hawawa-feeling lakini muda unavokwenda wakiwasiliana na kuwa na ukaribu hisia za mapenzi huchipua
Habari wana jamvi!
Ni kweli kuwa inawezekana kujifunza kumpenda mtu (kimapenzi)
hata kama kwa mara ya kwanza hukumpenda au hakuvutii?
Ufanye nini au ni steps gani za kuzifuata?
In red: Inawezekana kujifunza kumpenda! Reason being ni mtu ambaye unamfahamu; unajua uzuri wake na ubaya wake! So, u r in a better choice to decide kama wataka kuwa naye ama la!Swali lako ni pana kuliko unavyofikiria. It needs us to assume a lot of things?Labda ulielezee kiasi...
Mf:
Je, ni mtu ambaye mmezaa naye mkalazimika kuishi pamoja?
Je, ni mtu anayeonekana kukupenda sana kiasi unafeel unfair for not reciprocating his/her love?
Je, ni rafiki yako wa kike/kiume ambaye unaona ana hisia za kimapenzi juu yako na wewe mpaka sasa unamchukulia kama rafiki?
Je, ni mtu ambaye rafikizo wanaona anakufaa na wewe huna hisia naye?
Je...
Tupe the reason behind the question because maswali yote niliyouliza yana majibu tofauti.
Nawasilisha...
U got something wrong there bht... feelings can grow and you can love a person after knowing them.... but that doesnt meaning you have learned to love that person... learning terms means you have put some efforts to love that person, which I dont think it an easy thing... love should come naturally...
Inawezekana kujifunza kumpenda mtu. mfano mbona mara nyingi wanawake wanawatukana wanaume wanaowatokea. mwanaume asipokata tamaa na kuendelea kumfuatilia taratibu kadri muda unavyokwenda mwanamke anaanza kuvutiwa nae kwa jinsi alivyo mvumilivu, mtaratibu, mawazo yake, mtazamo wamaisha, n.k. hadi wanazama kwenye mapendi motomoto!