Inawezekana kabisa. Chamsingi upate ruhusa uende. Ni namna gani uende: Fanya yafuatayo:-
1. Omba chuo chako cha udaktari
2. Omba chuo cha education ngazi ya shahada
3. Nafasi zote mbili zote utapata na donwoload joining instruction ya education
4. Ipeleke hiyo joining instruction kwa mkuu wa idara ili akupe ruhusa.
Option ya pili nitafuta kwenye inbox kama hii haitakufaa
hapa nilipo tayari nina elimu ngazi ya shahada ya uwalimu labda nisingizie masters ila nayo ni mwaka mmoja wakati udaktari ni miaka mitano bado kuna tatizo hapa mkuu hakuna njia nyingine hata ya ujanja ujanja labda....!!!!!
Weee unatakaa shahada au stashahada miaka mitano ya nini sasa??wakatii umesema unataka stashahada ya CM ambayo nimiaka mitatu