Inawezekana kumpa mimba mwanamke endapo utakuna naye siku moja kabla ya hedhi au ya tano baada?

mathmartboy

Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Jaman naombeni msaada ,eti kunauwezekano wakumpa mimba Mdada endapo utakutana nae sikumoja kabla ya kuona hedhi .
Au siku ya tano baada ya kubleed .
 
hapana si rahisi mimba hupatikana kuanzia siku ya kumi na moja mpk kumi 17 kutegemeana na mzunguko wa mwanamke!

Kama siku 28,29,30,32!

Siku moja kabla ya hedhi au siku sita kabla sima hakika ngoja madaktari waje!
 
ndio inawezekana mkuu... hasa hiyo ya siku 5 baada ya ku-bleed but na inategemea huyo huwa anableed kwa siku ngapi
 
siku ya tano baada ya bleed ni siku ya hatari kabisa jamani mlikimbia biology kwanini ?
ngoja nilae nitakueleza kesho
Lala tu lakini siku ya tano baada ya bleeding haiwezi kuwa ya hatari. Unless ndio wale wanawake kama kuku tarehe hazisomeki. Siku tano baada ya bleeding inamaanisha ni siku ya 8-10 ya mzunguko sasa hatari sana hapo iko wapi?
 
sijaelewa unachomaanisha, , , , , but katika jibu unalowaza consider na siku ambazo sperm zitaendelea kuwa alive after being introduced into the vagina
 
Lala tu lakini siku ya tano baada ya bleeding haiwezi kuwa ya hatari. Unless ndio wale wanawake kama kuku tarehe hazisomeki. Siku tano baada ya bleeding inamaanisha ni siku ya 8-10 ya mzunguko sasa hatari sana hapo iko wapi?
tuassume ni ya kumi .mbegu za kiume zinaishi muda gani?
 
Lala tu lakini siku ya tano baada ya bleeding haiwezi kuwa ya hatari. Unless ndio wale wanawake kama kuku tarehe hazisomeki. Siku tano baada ya bleeding inamaanisha ni siku ya 8-10 ya mzunguko sasa hatari sana hapo iko wapi?
well, chukulia concept yako, baada ya siku 5 za bleeding inaweza ikawa ni siku ya 10, sasa chukulia hiyo siku ya 11 ndio tendo likafanyika unadhani mpaka ovulation itokee hizo siku 3 zijazo hakutakuwa na sperms zilizo hai?
 
ovulation ni siku ya 11 hadi 14 kutegemea na mzunguko.kuna mwezi inakuwa 21 mwingine 28 mwingine 35 a kama imeangukia 21 je?
 
baada ya kuingia kwa mwanamke zinaweza ishi mpaka siku 5
siku tano sio kweli wanasema masaa 72
sasa jumlisha hizo siku hapo kwenye siku tano baada ya bleed
siku ya 10,11,12,13,14,15,16 nadhani ni hatare hatare
 
ovulation ni siku ya 11 hadi 14 kutegemea na mzunguko.kuna mwezi inakuwa 21 mwingine 28 mwingine 35 a kama imeangukia 21 je?
nini imeangukia siku ya 21 mkuu?
hizo 21, 28 & 35 ni siku za mzunguko, sasa sijakupa vizuri nini iangukie siku ya 21
 
siku tano sio kweli wanasema masaa 72
sasa jumlisha hizo siku hapo kwenye siku tano baada ya bleed
siku ya 10,11,12,13,14,15,16 nadhani ni hatare hatare
kwanza nashkuru kwa kufahamu kuwa katika hiyo situation mimba inaweza itapatikana maana hicho ndio kilifanya nicomment humu baada ya kuona waliotangulia wanakataa...

na kusuhu lifespan ya sperm sina namna nyingine ya kukushawishi ukubaliane na jibu yangu maana mimi ninauhakika nalo, zinaweza zidi hayo masaa 72..
labda uingie google mkuu unaweza ukapata maelezo zaidi
 
sina uzoefu sana ila nachojua mbegu za kiume haziishi muda mrefu kiivo
 
Usikubali kubebeshwa hiyo mimba, siku ya hatari ya mwanamke kubeba mimba ni siku ya 14 tangu alipoanza kubleed, ila hata ya 12 anawesa akaja kushika mimba. Huyu ni kwa mzunguko wa siku 28.

Wa siku 30 ni siku ya 16 tangu alipoanza kubleed.

Achana na huyo tapeli.
 
Back
Top Bottom