well, chukulia concept yako, baada ya siku 5 za bleeding inaweza ikawa ni siku ya 10, sasa chukulia hiyo siku ya 11 ndio tendo likafanyika unadhani mpaka ovulation itokee hizo siku 3 zijazo hakutakuwa na sperms zilizo hai?
Iko hivi... Siku ya kushuka yai ni siku ya 14 tangu kuanza bleed (katikati ya mzunguko wa siku 28) na sperm zinaweza kuwa hai hadi siku 3 baada ya kuingia eneo la tukio. Hivyo basi kama umeiweka siku tano baada ya bleeding ( ikawa siku ya 10 kwa anaye bleed siku 5) hizo sperm zitaisha nguvu siku ya 13 kabla yai halijashuka. Otherwise ndio yale mambo ya kuku niliyoyasema hapo juu.
Huyo mwanamke mzunguko wake wa hedhi ni siku ngapi? 28, 29,32 or 35 then huwa hedhini kwa siku ngapi 3 or 5 or 7? Kabla ya kujibu swali lako inatakiwa kwanza ujibu maswali haya