Inawezekana kuna rushwa imetumika katika kuhujumu mchezo baina ya Simba na Yanga uliokuwa ufanyike jana tarehe 08/03/2025

Inawezekana kuna rushwa imetumika katika kuhujumu mchezo baina ya Simba na Yanga uliokuwa ufanyike jana tarehe 08/03/2025

Hersi mwenyewe alijua mechi haitakuwepo ndiyo maana wiki nzima alikuwa zake bize kule ndondo cup
 
naunga mkono hoja,
hili la kutangaza mechi ya marudiano haraka haraka lisifanyike hadi walioharibu mechi wachukuliwe hatua
 
Back
Top Bottom