S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Mar 9, 2025 #1 Huu ndio mtazamo wangu, na ili ukweli ujulikane, iundwe kamati ya uchunguzi na kamati hiyo iundwe na CAF au FIFA na wajumbe baadhi watoke nje ya nchi na ikiwezekana wajumbe wote watoke nje ya nchi(wasiwe watanzania). Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba Nina wasiwasi kuna jinai katika hili jambo.
Huu ndio mtazamo wangu, na ili ukweli ujulikane, iundwe kamati ya uchunguzi na kamati hiyo iundwe na CAF au FIFA na wajumbe baadhi watoke nje ya nchi na ikiwezekana wajumbe wote watoke nje ya nchi(wasiwe watanzania). Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba Nina wasiwasi kuna jinai katika hili jambo.
SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Mar 9, 2025 #2 Hersi mwenyewe alijua mechi haitakuwepo ndiyo maana wiki nzima alikuwa zake bize kule ndondo cup
0 004 Member Joined Sep 12, 2024 Posts 81 Reaction score 123 Mar 10, 2025 #3 naunga mkono hoja, hili la kutangaza mechi ya marudiano haraka haraka lisifanyike hadi walioharibu mechi wachukuliwe hatua
naunga mkono hoja, hili la kutangaza mechi ya marudiano haraka haraka lisifanyike hadi walioharibu mechi wachukuliwe hatua