Asante kwa mawazo,Unajenga Ghorofa?
Sehemu ya kuweka hiyo mifuko 300 umeshaiandaa?
Mtu wa kulinda na kusimamia utoaji wa hiyo mifuko umeshamuandaa?
Mimi yangu hayo tu wadau wa cement wanakuja na ninajua inawezekana
Mtu wa kulinda hiyo cementAsante kwa mawazo,
Sehemu ya kuhifadhi sio tatizo.
Unajenga Ghorofa?
Sehemu ya kuweka hiyo mifuko 300 umeshaiandaa?
Mtu wa kulinda na kusimamia utoaji wa hiyo mifuko umeshamuandaa?
Mimi yangu hayo tu wadau wa cement wanakuja na ninajua inawezekana
Mtu wa kulinda hiyo cement
Mifuko 300 kama unafyatuaatofali mwenyewe ni sawa, ila kama unanunua tafuta fundi mwingine akufanyie mahesabu, huyo ameeka mifuo ya kuiba
Hivi jamani mmesoma content ya mleta mada?Iz nyumba zetu za kiswahil aziwez kutumia mifuko 300 labda kama utafyatua mwenyew tofal au unajenga gorofa
Tumesoma ila kabla ajafanya hayo maamuz ya kufata iyo mfuko 300 lazma tumpe pcha halis au ww ndio fund uliemkadria il akmalza ujenz na ww ue na hardwere yakoHivi jamani mmesoma content ya mleta mada?
Maana mnajibu vitu ambavyo hamjaulizwa
Ndugu zangu, habarini.
Naomba ushauri, nataka kujenga. Nimepigiwa mahesabu kwamba paka nyumba kuisha ninatakiwa mifuko 300 ya cement.
Sasa, nafikiria kununua toka kiwandani kwa jumla ili kupata bei ya jumla.
Swali langu ni kwamba, je nitaruhusiwa kununua toka kiwandani moja kwa moja au lazima ninunue toka kwa agent? Pia nataka kujua bei inaweza chezea kiasi gani kwa jumla kwa cement standard ya 42.
Asanteni sana
Cement kiwandani huwezi kununua mifuko 300, nunua kwa agent tu tena utapata na offer ya kubebewa. Ukienda kiwandani hata wakikuuzia utaokoa sh500 tu kwa mfuko ambapo kumla ni 150,000 tu plus usumbufu, gharama za kuhifadhi pamoja nkNdugu zangu, habarini.
Naomba ushauri, nataka kujenga. Nimepigiwa mahesabu kwamba paka nyumba kuisha ninatakiwa mifuko 300 ya cement.
Sasa, nafikiria kununua toka kiwandani kwa jumla ili kupata bei ya jumla.
Swali langu ni kwamba, je nitaruhusiwa kununua toka kiwandani moja kwa moja au lazima ninunue toka kwa agent? Pia nataka kujua bei inaweza chezea kiasi gani kwa jumla kwa cement standard ya 42.
Asanteni sana
Eneo ulipo mkuu, pia mbona saruji nyingi sana au gorofa/appartment?Pia nataka kujua bei inaweza chezea kiasi gani kwa jumla kwa cement standard ya 42.
Umesogeza hisia zaidi kuliko ushauri wa kitaalamu.Mifuko 300 kama unafyatuaatofali mwenyewe ni sawa, ila kama unanunua tafuta fundi mwingine akufanyie mahesabu, huyo ameeka mifuo ya kuiba
Mifuko 300 ni standard ya kawaida tu.Unajenga Ghorofa?
Sehemu ya kuweka hiyo mifuko 300 umeshaiandaa?
Mtu wa kulinda na kusimamia utoaji wa hiyo mifuko umeshamuandaa?
Mimi yangu hayo tu wadau wa cement wanakuja na ninajua inawezekana