Inawezekana kununua saruji (cement) toka kiwandani moja kwa moja au lazima ninunue toka kwa agent?

Sahihi sana..
Kibongobongo watu bujenga nyumba zenye ratio dhaifu sana
 
Kiwandani anaweza kupata kwa bei gani?
 
Asante sana, pia nashukuru kwa kufanya correction kwa watu ambao hawakuelewa nini nataka.
 
Mifuko 300 ni standard ya kawaida tu.
Jibu la mtoa uzi ni...huwezi kununua kiwandani moja kwa moja bali kwa wakala mkuu
Kwa hiyo unaiweka tu kwenye uwanja Kwa kuwa ni ya kawaida
 
Hapo fundi atakengea n nyumba ya jilani hapo kitaa!!




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…