Inawezekana kuomba kazi nafasi zaidi ya moja kupitia sekretarieti ya ajira

Inawezekana kuomba kazi nafasi zaidi ya moja kupitia sekretarieti ya ajira

inawezekana kabisa. Ila kila kazi iwe na application package yake inayojitegemea, ujue hawa jamaa wanatangaza kazi tofautitofauti kwa mfano wanaweza kuwa wametangaza kuajiri afisa utumishi,academic officer,examiniation officer kwa ajili ya chuo kimoja au hata viwili tofuti na ukiangalia qualification walizoweka zote unazo. Inaruhusiwa kuomba zote na kama unafiti zote wanaweza wakakushortlist kwenye zote ila kama ukifanikiwa utakuja ajiriwa kwenye nafasi moja tu mo
 
Back
Top Bottom