Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo pesa ndio wanazitumia ccm, na hata ukistaafu unaweza ukafa kabla hujalipwa.Je, anayefahamu kama mtu bado ni mfanyakazi wa serekali kuna namna ambayo unaweza kuomba seheme ya makato ya mfuko wako wa pensheni na ukapewa kwa sasa? Au hicho kitu hakipo kabisa?
Naomba kufahamu
Kauliza swali muhimu, ila majibu anayopewa?Hizo pesa ndio wanazitumia ccm, na hata ukistaafu unaweza ukafa kabla hujalipwa.
Haiwezekani mkuu, lazima ufikishe umri wa kustaafu au kuwa nje ya ajira ambayo nayo siku hizi changamotoKauliza swali muhimu, ila majibu anayopewa?