Je, anayefahamu kama mtu bado ni mfanyakazi wa serekali kuna namna ambayo unaweza kuomba seheme ya makato ya mfuko wako wa pensheni na ukapewa kwa sasa? Au hicho kitu hakipo kabisa?

Haiwezekani na aliueleta huo utaratibu ni Waziri na amepewa Wizara ya Utawala Bora bibie Jenista Mhagama alimshikia bango kwelikweli hiyo Sheria na Sasa mnae ndio Waziri wenu watumishi ππππ