Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! man hiyo haiwezekani kwa sababu kuu moja hapo hakuna security. Benki wao wanachoitaji ni kuhakisha kwamba hawapotezi hata senti yao hata ukifa baada ya kukopa kwao. Na pia kiwanja baado sio chako na kama sio chako definitely huna document za mali isio hamishika. Hapo hakuna dhamana yenye jina lako.
May be the best option is lazima kuwe na understanding kati yako na mwenye kiwanja ambapo utatumia document za mwenye kiwanja na pia lazima atakuandikia barua kuonyesha kwamba amekubali kiwanja chake kiwe dhamana benki.
kwa offer hupati mkopo,kwani hiyo ni document inajieleza kuwa ni Offer ya kupata kiwanja,ukishaproceed na kulipia gharama stahili,ndo unapewa hati ya kukodishwa kiwanja na jamhuri for 33yrs or whatever time
hapo huna jinsi malizia kulipa upate hati then uanze mbinu za kupata mkopo
Jamani wanajamii naomba kueleweshwa kama kuna uwezekano wa kutumia offer ya kiwanja kama dhamana ya kukopa fedha bank. Je utaratibu ukoje?
Natanguliza shukrani?