inawezekana kupata mme facebook au mkamuaji?

MBUFYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
445
Reaction score
68
wakuu, najua kukutana ni mahali popote, mnaweza kukutana kwenye basi, njisni, kanisani, msikitini, mpirani, kumbi za starehe na mahali pengine ambapo sijapataja. maeneo hayo watu wamekuwa wakikutana na kuanza mahusiano,
SWALI LANGU. Hivi facebook, tena group ya stori za ngono unaweza pata mume? maana kuna binti jirani yangu ni juzi tu kaweka post kuwa anahitaji mme, leoo tayari kidume kimekuja na wameanza kufanya nfono, je hapoa pana ndoa?
 
Hahahahaha, we mwenyewe unaonaje?
 
Kwani huyo mwanaume alijamiina mwenyewe hata uulize kama kuna mume bila kumhusisha mwanamke? Wamefanya kwa makubaliano , na kwa kufanya hivyo hakuna maana ya kwamba ndoa haitowezekana kwao. Kuna watu wanasubiriana miaka na bado inashindikana.
 
wakuu huyu binti naishi naye nyumba moja ya kupanga, sasa namuona kaamka saa kumi alfajiri kidume kipo ndani kaanza kuosha vyombo hapo karoni kamaliza na sasa anafagia, hii sio kwawaida yake yeye huwa anaamka saa nne hasubuhi. mmmmh nahisi kuna tatizo,
 

anzisha topic nyengine,acha kudandia thread ya mwenzio...lol
 
mie nimepata mchumba facebook natamani huyu ndie aje kuwa mume wangu,na nadhani ndio yeye.
 

Watu wengine kwa umbea bwana. . .
Sasa mtu akiamka mapema ndio kuna tatizo?
 
Kwa hiyo unatufahamisha kua VAMPA=MBUFYA???
 
Kwa hiyo unatufahamisha kua VAMPA=MBUFYA???

Hapo umenena mkuu, huyu atakuwa ni mtu mmoja amejisahau tu, akatumia ID zote mbili. :eyebrows::eyebrows:
 
Ambao hawakuja kwa nia nzuri wanajulikana tu, wambeaaaa mpaka wanagonganisha IDs!!
Hapo hakuna kutafuta mchawi aisee,hope ni makosa ya kiufundi tu leo yametokea, pole zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…