Inawezekana kupata mwenza wa maisha kwenye 40+ jamani

Baba yangu huko bush alioa binti mdogo kuliko mimi na maisha yanaendelea, njoo tuongee biashara ghalama ni kama ifuatavyo, kunitoa mjini sh laki 2, usafiri juu yako, mahali tafuta mtoto wa ng'ombe 1 (ndama), mbuzi 12, na pesa kesh laki 4, tuendako msosi ni juu yangu utachangia ya mboga 2, kumlaghai binti mifuko 25 ya chips kwa siku 25 sh 50 sawasawa na siku moja afu 2, kuwadi afu 10, mshenga afu 5, wajomba na wanakijiji ili wakuachie binti yao kwa amani wanahitaji pombe ya nafaka (nkangala) dumu 5 za lita 20 kila moja jumla sh afu 50, kazi inaisha unapata binti safi mwenye heshima na hofu ya mizimu achana na hawa wa mijini wenye hofu ya mungu uchwara wanaenda makanisani na vimini.
 
Kijana wa uvccm amepata vijihela vya kwenye kampeni, tayari ameanza kuvurugwa! Yaani ameshasahau kama ndoa inahitaji uvumilivu, uwazi, majadiliano, nk.
Hivi usikute amelipata shangingi la UWT linamuendesha kama gari bovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…