Inawezekana kupata wapenzi wawili wa kike ndani ya wiki moja?

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
621
Reaction score
817
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, me kijana wa hovyo niko na swali

Hivi inawezekana kweli kwa kijana wa kiume kujipatia mademu zaidi ya mmoja ndani ya wiki moja?.. Yaani kutengeneza uhusiano na demu mpya ambae hajawahi kuonana nae hata kwa siku moja na mpaka kuwa wapenzi ndani ya wiki moja inawezekana kweli ?????

Kama inawezekana Nambie mbinu gani za haraka kiasi hko mnatumiaga, personally inaweza pita hata wiki 2 kwa dem mmoja
 
Na sisi wanachuo tunao pata ao wapenzi 2 kwa siku tuna ruhusiwa ku comment
 
Ata ndani ya masaa inawezekana, kikubwa uwe na nafasi ya kutumia muda wenu pamoja. Iwe kwa outing au trip yoyote
 
Vaa vizuri nenda sehemu za starehe tumia pesa watakuja wewe utachagua.
Usivae kama unaenda send off au mwimba kwaya.

Ukivaa kama mwimba kwaya kuna muda watakufananisha na wale wauza madiaba, madishi na ndoo.
 
pesa yeko tu, kapaki passo yake pale udbs unawapata mpaka unawakimbia
 
Wiki moja? Siku moja tu mtu ana wapenzi watatu au hata wanne na zaidi.

Kama kichwa kinavyojieleza hapo, me kijana wa hovyo niko na swali

Hivi inawezekana kweli kwa kijana wa kiume kujipatia mademu zaidi ya mmoja ndani ya wiki moja?.. Yaani kutengeneza uhusiano na demu mpya ambae hajawahi kuonana nae hata kwa siku moja na mpaka kuwa wapenzi ndani ya wiki moja inawezekana kweli ?????

Kama inawezekana Nambie mbinu gani za haraka kiasi hko mnatumiaga, personally inaweza pita hata wiki 2 kwa dem mmoja
 
Taarifa hii haina uhusiano wowote na uzi huu ila ni vizuri kila Mtanzania afahamu kuwa jina la Hangaya lina maana ya nyota angavu ya asubuhi inayoonesha matumaini linasadifu nafasi ya Mhe. Rais Samia ambayo Watanzania wana matumaini makubwa kwa uongozi wake kwenye maendeleo yao na taifa kwa ujumla.
images (2) (23).jpeg
 
Back
Top Bottom