Umenena[emoji106]pesaa
hujaona meme wanadai ambao hatuna pesa tuuwaweKwahyo ambao hatuna pesa kujipatia demu kwa wiki moja ni stori
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, me kijana wa hovyo niko na swali
Hivi inawezekana kweli kwa kijana wa kiume kujipatia mademu zaidi ya mmoja ndani ya wiki moja?.. Yaani kutengeneza uhusiano na demu mpya ambae hajawahi kuonana nae hata kwa siku moja na mpaka kuwa wapenzi ndani ya wiki moja inawezekana kweli ?????
Kama inawezekana Nambie mbinu gani za haraka kiasi hko mnatumiaga, personally inaweza pita hata wiki 2 kwa dem mmoja