Inawezekana kupeleka BMK mahakamani kuhusiana na upigaji wa kura na utangazaji wa matokeo?

Inawezekana kupeleka BMK mahakamani kuhusiana na upigaji wa kura na utangazaji wa matokeo?

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,227
Wakuu;

Nimetatizwa sana na zoezi la upigaji wa kura na utangazaji wa matokeo kuhusu bunge maalum la katiba na upitishwaji wa rasimu ya katiba.

Idadi ya wajumbe imeongezeka kutoka 624 (Kadri ya tovuti ya Bunge) hadi 630

Idadi ya wazanzibar imeogezeka toka 210 hadi 219....Hawa tisa wametoka wapi.

Kura za siri zimepigwa na kusemekana zote zimesema ndio.......

Kuna wajumbe tisa waliopiga kura ila majina yao hayajatajwa popote pale

Je matokeo yanaweza kuhojiwa mahakamani?

View attachment sheria na. 8 ya mabadiliko ya katiba 2 mach.pdf
 
kosa la ukawa ni kumsusia nguruwe shamba la muhogo .
Nilitamani niwaone ukawa wakirudi bungeni kwa kupiga kura tuu.
Angalau ule uchakachuaji ungelidhibitiwa kw akiwango kikubwa.na rasimu ile ingekwama kilalali.
IT WAS A TERIBLE MISTAKE
sasa kuhusu kutafuta njia za kisheria ,nadhani inawezekana,kwani hakuna zuilio la kufanya hivyo popote kwenye ile sheria yenyewe.
Tofauti na kura za raisi ambazo matokeo yake yakitangaazwa huwa hayahojiwi kisheria kwa mujibu wa katiba.,lakini ya mbunge huhojiwa na kufunguliwa kesi mahakamani.
naamini hili nalo lawezekana.
 
Inawezekana,kwani sita kavunja sheria hii sana,na amechakachua kura. soma hapa:-
( ,siaR inadn ya ukis ht inihtale an ajom daab a y a
aekopuk ,itopir cata h ipa s ah umisaR ya abitaK tak i ak aG z ite al
ilakireS an ewk nye magaz ite em ng eni jomap a an eleam z o
abmawk umisaR ya K abita awhsilisawati kwenye Bun eg
ilija awk mulaaM ya uk p awhsiti abitaK ni ay epo n eked z a
 
kosa la ukawa ni kumsusia nguruwe shamba la muhogo .
Nilitamani niwaone ukawa wakirudi bungeni kwa kupiga kura tuu.
Angalau ule uchakachuaji ungelidhibitiwa kw akiwango kikubwa.na rasimu ile ingekwama kilalali.
IT WAS A TERIBLE MISTAKE
sasa kuhusu kutafuta njia za kisheria ,nadhani inawezekana,kwani hakuna zuilio la kufanya hivyo popote kwenye ile sheria yenyewe.
Tofauti na kura za raisi ambazo matokeo yake yakitangaazwa huwa hayahojiwi kisheria kwa mujibu wa katiba.,lakini ya mbunge huhojiwa na kufunguliwa kesi mahakamani.
naamini hili nalo lawezekana.

Hata kama ukawa wangerudi wasingeruhusiwa kupiga kura,wangewauliza ''nyinyi hamuijui rasimu cz hamkushiriki kuitunga mtaipigiaje kura?hawa jamaa wajanja sana mm cio ukawa bt ninaamini cku moja hawa jamaa watatoka
 
Back
Top Bottom