kosa la ukawa ni kumsusia nguruwe shamba la muhogo .
Nilitamani niwaone ukawa wakirudi bungeni kwa kupiga kura tuu.
Angalau ule uchakachuaji ungelidhibitiwa kw akiwango kikubwa.na rasimu ile ingekwama kilalali.
IT WAS A TERIBLE MISTAKE
sasa kuhusu kutafuta njia za kisheria ,nadhani inawezekana,kwani hakuna zuilio la kufanya hivyo popote kwenye ile sheria yenyewe.
Tofauti na kura za raisi ambazo matokeo yake yakitangaazwa huwa hayahojiwi kisheria kwa mujibu wa katiba.,lakini ya mbunge huhojiwa na kufunguliwa kesi mahakamani.
naamini hili nalo lawezekana.