Inawezekana kupenda au kutongosa kwa ishara?

Inawezekana kupenda au kutongosa kwa ishara?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Hivi hili jambo linawezekana kutongoza kwa kutumia ishara na ukafanikiwa? Hapa sikusudii zile ishara sugu za papo kwa papo aka part time.

Kuanzisha uhusiano wa kudumu na kufanikisha. Na hizo ishara tuwekeeni tupate elimu, ile ya kujikuna sehemu nyeti naamini haimo.
 
Na hao wawili walio kipofu wakiongozana hakika watadumbukia shimoni.
 
Sidhani labda kutongoza malayer/ wanaojiuza!
 
Enhe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana na kutongaza Kwa ishara kwani wewe ni mamajusi?? embu fanya mambo mengine
 
Inawezekana ndiyo, demu anatongozwa kwa ishara kwanza ndo unakuja kukazia na maneno/matendo.

Kuna wale tunasoma body language kwanza if she's interested, ndo tuna invade kwa ishara na body language pia,

What to tell if she's interested
-You look at her,she looks back romantically
-Facia expression-smiling,shyness, anxiety n.k
-Postures (Mikao/mapozi)
-Gestures (ishara ya viungo kama miguu,mikono,shingo n.k).

Kama bado hujajua kusoma body language kama she's interested or not, ujue we ni kinda kwenye hii tasnia

Demu anatongozwa kwa macho kwanza (Mwangalie ndani ya macho~Nameless).

Atakuja mjinga atasema "toa hela"(hizi mbinu sio za wale wa Kimboka, Uwanja wa fisi na Mwananyamala kwa Wahaya) japokuwa zinaweza tumika wakiwa nje na mazingira ya kazi zao.
 
Back
Top Bottom