Inawezekana ndiyo, demu anatongozwa kwa ishara kwanza ndo unakuja kukazia na maneno/matendo.
Kuna wale tunasoma body language kwanza if she's interested, ndo tuna invade kwa ishara na body language pia,
What to tell if she's interested
-You look at her,she looks back romantically
-Facia expression-smiling,shyness, anxiety n.k
-Postures (Mikao/mapozi)
-Gestures (ishara ya viungo kama miguu,mikono,shingo n.k).
Kama bado hujajua kusoma body language kama she's interested or not, ujue we ni kinda kwenye hii tasnia
Demu anatongozwa kwa macho kwanza (Mwangalie ndani ya macho~Nameless).
Atakuja mjinga atasema "toa hela"(hizi mbinu sio za wale wa Kimboka, Uwanja wa fisi na Mwananyamala kwa Wahaya) japokuwa zinaweza tumika wakiwa nje na mazingira ya kazi zao.