Inawezekana kupona Hernia bila upasua - Case study China

Kama kuna mtu anajua dawa ya Hiatus Hernia, msaada maana nimeambiwa ni operation, na kama kuna mtu alishawahi fanyiwa ni vipi alipata hiyo huduma na nitapata wapi msaada?
 
jameni nimeambiwa nina hiatus hernia sasa naitaji nifanye operation vp kama kuna mtu ashafanyiwa au anajua niende hospto gani
 
Unajua hapa nmeona mnazungumza hernia ya aina moja hiatus hernia yenyewe ni ile ya tumbo kwenda kifuani
 
Hebu rudi utuambie kama ile ngiri ya dogo haijarudia!!
 
Jmn mwenye uzoefu wa hasa kwa hosp za serikal juu ya gharama za kufanyiwa upasuaj wa ngiri atusaidie ili tuweke bajet vzr kabla ya kwenda hosp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dakatari bingwa wa mambo ya hernia na magonjwa mengine ya mfumo ya tumbo. Dr. Manish Joshi wa India. Ana website yake binafsi ameelezea vizuri haya matatizo. www.drmanishjoshi.com. Hosp anayofanya kazi (India) matibabu ya hernia ni almost $2500-3000 ambayo huhusisha operation, dawa, gharama ya kukaa wodini, chakula cha mgonjwa na ndugu n.k. Kwa kifupi ukilipa ni kukaa tu unapokea huduma zote. Surgery ni keyhole (Laparoscopic surgery) na sio open surgery.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…