Inawezekana kusoma Degree na diploma tofauti kwa wakati mmoja?

stanleyRuta

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
851
Reaction score
519
Habari wana forum,

Hivi inawezekana mtu ukawa unasomea degree ya kitu flani under TCU at the same time unasoma diploma katika taaluma nyingine under NACTE,

Mfano unasoma degree ya electrical engineering DIT at the same time unasoma diploma ya business admn CBE.

Vip kisheria hii ikoje wakuu.

Nawasilisha.
 

mwenyewe tu,kujipanga kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…