Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Huu mnyukano unaoendelea ndani ya CHADEMA, Kwa maoni yangu, unachangiwa na mambo yafuatayo.
1. Inawezekana Kuna mambo ambayo Mbowe na watawala wamekubalina lakini yeye kama mwenyekiti ameshindwa kwashawishi wajumbe, au amewazunguka. Kwahiyo Kuna baadh ya viongozi au wajumbe,i watakuwa wemegundua kamchezo ambako huenda kanakwenda kumnufaisha mwenyekiti na kundi lake na sio Chama.
2. Makubaliano yeyote yakuidhoofisha CHADEMA nakuunga mkono watawala ni kitu kinawaumiza wengi hasa ukizingatia Kuna wanachadema ambao wametumia muda na Mali zao nyingi kujiimalisha ili wagombee ubunge na udiwani Sasa wanaona kuwa malengo Yao yanaenda kufa, Hopo ndipo linaibuka kundi linalomunga mkono lisu