Inawezekana kuwa Mbowe na watawala kuna mambo walikubaliana lakini yeye hakuwashirikisha wenzake, au aliowashirikisha wamevujisha

Mzee Ngonyani

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
1,049
Reaction score
2,242
Huu mnyukano unaoendelea ndani ya CHADEMA, Kwa maoni yangu, unachangiwa na mambo yafuatayo.

1. Inawezekana Kuna mambo ambayo Mbowe na watawala wamekubalina lakini yeye kama mwenyekiti ameshindwa kwashawishi wajumbe, au amewazunguka. Kwahiyo Kuna baadh ya viongozi au wajumbe,i watakuwa wemegundua kamchezo ambako huenda kanakwenda kumnufaisha mwenyekiti na kundi lake na sio Chama.

2. Makubaliano yeyote yakuidhoofisha CHADEMA nakuunga mkono watawala ni kitu kinawaumiza wengi hasa ukizingatia Kuna wanachadema ambao wametumia muda na Mali zao nyingi kujiimalisha ili wagombee ubunge na udiwani Sasa wanaona kuwa malengo Yao yanaenda kufa, Hopo ndipo linaibuka kundi linalomunga mkono lisu
 
Huu mnyukano unaoendelea ndani ya CHADEMA, Kwa maoni yangu, unachangiwa na mambo yafuatayo.

1. Inawezekana Kuna mambo ambayo Mbowe na watawala wamekubalina lakini yeye kama mwenyekiti ameshindwa kwashawishi wajumbe, au amewazunguka...
Ni kweli chadema kwa Sasa Haina power, hivi wawakilishi wako karibia wote kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa wameenguliwa chadema wamefanya Nini?

Hapa ndipo watz wanahitaji Chama kitakachokuwa na power ya kuilzimisha ccm, serikali yake na polisi kufata haki iwe kwa lazima au kwa hiyari yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…