Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Saa nyingine na yeye anakuona we ni Zero wake kweli binadamu tunapishana sasa we umejuaje kama umemzidi upeo.Upole/ukinya tofauti ni uzezeta.
Duh! Sisi wenye upeo mdogo hatutapata wenza
Sasa hamuendani hata kidogo unataka nini kwake?
*Samahani, ila upeo umeupimaje pimaje?
habari za asubuhi wana mmu, ni mwaka umepita tangu nikutane na huyu kaka. naweza kusema ni wa kawaida sana, yan kimaisha,elimu na muonekano pia. nilikutana naye tukiwa tunasoma koz flan.alionesha nia ya kunitaka kimapenzi ila nilimkatalia kwa sababu binafsi. baada ya kumaliza kozi hakukata tamaa, aliendelea kuwa karibu na sasa tunaelekea kuwa wapenzi. ukaribu wetu umenifanya nigundue kuwa hatuendani kwa kiasi kikubwa, hana upeo wa vitu vingi, hatuendani hata kidogo. je nawezaje kuwa nae ktk hali kama hii?
haelewi mambo mengi, mfano issue za ujasiriamali, nini kanaendelea duniani, siasa. in short hayupo updated kabisa. ni mshamba mshamba tu
hahaa! umenichekesha billie. nasema hivyo kwa maana kwamba kuna vitu ambavyo huwa anaongea ni local sana hana exposure kabisa! ama ni mshamba flani labda niseme hivyo. pia kuna baadhi ya mambo hajui yaani namuelekeza mambo mengi hadi ananikera. ukimbana na maswali kidogo anashindwa kujieleza mpaka ananibore.
haelewi mambo mengi, mfano issue za ujasiriamali, nini kanaendelea duniani, siasa. in short hayupo updated kabisa. ni mshamba mshamba tu
haya Banah Utampata Huyo Mwenye Upeo Mwenzako...Naye Akushushe Vyeo!
Kama unampenda vunja ukimya muambie dia plz uwe unajiUPDATE jiunge fb,na jf.
Usihofu mkuu, mtapata wenza wenye upeo mdogo kama ninyi. Mungu kaumba kila mtu na wake!Duh! Sisi wenye upeo mdogo hatutapata wenza
saa nyingine na yeye anakuona we ni zero wake kweli binadamu tunapishana sasa we umejuaje kama umemzidi upeo.upole/ukinya tofauti ni uzezeta.
haelewi mambo mengi, mfano issue za ujasiriamali, nini kanaendelea duniani, siasa. in short hayupo updated kabisa. ni mshamba mshamba tu