haelewi mambo mengi, mfano issue za ujasiriamali, nini kanaendelea duniani, siasa. in short hayupo updated kabisa. ni mshamba mshamba tu
haelewi mambo mengi, mfano issue za ujasiriamali, nini kanaendelea duniani, siasa. in short hayupo updated kabisa. ni mshamba mshamba tu
Namhurumia kwa kuwa nawe muda wote huo.
Kweli humpendi lakini hata heshima huna?
Maneno mengine yanaonyesha zaidi wewe ulivyo kuliko alivyo yeye
ukisoma post yangu ya kwanza utaelewa kwamba ndio tunaelekea kuwa wapenzi na sio kwamba ni wapenzi tayari.
sasa upeo gani,wa kimaisha au utandawazi,fafanua coz kama hana upeo wa mbali maana yake alimtafuta mtu ambaye anahisi wanaendana ambaye ndo wewe,navyohisi.
haelewi mambo mengi, mfano issue za ujasiriamali, nini kanaendelea duniani, siasa. in short hayupo updated kabisa. ni mshamba mshamba tu[/QUOTE]
mwanaume hauko proud naye unaendelea kusema unaelekea kuwa mpenzi wake?manake nini?ukiachana nae baada ya kumpata mwenye upeo unaoutaka ukiitwa malaya utawalaumu watu?hii manake ni kuwa hata wewe upeo wako ni mdogo maana hujui unataka nini from a man,mwanamke mwenye upeo anajua wat she what and to go for it!kitendo tu cha kukaa na mtu mwaka mzima ukijua kabisa sio type yako ni upeo duni means ur at a go,anything in road is ok,and thts not wat it means kwa mtu mwenye upeo!
mshamba mshamba tu? lol
but atakuwa 'good in bed' lol
vinginevyo wamtakia nini?
wewe umeshakuwa 'dickmatized' wewe lol
Hawa nao kwa kujitutumua tu.
Ungekuwa na upeo ungekuja kuomba ushauri JF?
Ungekuwa na upeo ungepigwa bao siku zote hizo na mtu asiye upeo?
Inawezekana kuwanaye na nijukum lako kumpa uelewa zaid ktk mambo ambayo unahc upeo wake unaonekana kuwa mdogo. Naiman hata wewe kunavitu ambavyo utahtaji kuvijua kutoka kwake so mi nadhani mnaweza kuwa pamoja huku mkizidi kupeana elimu katika yale magen kwenu nyote.
umeona enh!na ushamaba wake si ajabu ni mzuri sana kitandani,sasa sijui wanafikiri ideal men hawana mapungufu,ngoja awatafute wenye upeo aone nao mapungufu yao na wao then atakuja hapa kuomba ushauri ''jamani hivi kweli mtu mpenzi wako akijua kila kitu sio tatizo kweli?''
inatakiwa mwanaume awe na upeo mkubwa kuliko mwanamke.
Duh! Sisi wenye upeo mdogo hatutapata wenza