inawezekana kuwa na mpenzi unayemzidi upeo?

tulizana hapo shosti hao wenye upeo unaowata wapiga mizinga balaaa,wanakula chips yai akifika bed mtupu anatoa upepo tuuuu,
 
Kama hajui kuchezea hiyo mbululu nimsaidie!...
 
ha ha haaa....kwakweli ungekuwa umempeeeenda jamaa ungejustify hata the "unjustifyable"...wanasema ukipenda chongo unaiita kengeza...lack of exposure ungesema "well tumekuwa raised in different social environments so daaaah we have different interests n I see no probs with that...we'll cope as we get along with th relationship"...muache tu sio lazima kama unaona moyoni hayupo!
 
inatakiwa mwanaume awe na upeo mkubwa kuliko mwanamke.

Bora haya sijayasema mie,

But....I wish everyone noted that the buck stopped here!!



Nimefurahi kwamba Dada Mkuu Kongosho umeiona hiyo post yake na kumpatie LIKE!!!

Pia umefanya kitu kuzuri sana kutumia uzoefu wako kuelezea hiyo sentensi yake kuwa kui-amplify!!

Hata hivyo, naomba kusema kuwa huyu dada ana hoja muhimu sana na anahitaji msaada ili afanye maamuzi ya maana sana; kwani huu ndio mwanzo wa process ambayo inaweza kumfanya awe na furaha au karaha maisha yake yote yaliyobaki...!!

Kwa mamlaka niliyopewa na Mungu kama Babu DC,....niko tayari kumpatia ushauri wa aina yoyote hata kama angetaka niwe wakili wake free of charge!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
sijamaanisha aje jf au aende fb. nina maana hana upeo wa maisha kwa ujumla. hayupo updated

kama nimekuelewa vle,mm ni mfuatiliaj wa kla k2 dunian,napenda kuwa na knowlg ila gf wang hayuko interestd kabsa,ila nmeamua kum-update(kama ulivyosema hayuko updated) coz ni wife material,angalia interest zako then ushamba n insh ya muda tu nadhan kuna kpnd ulkuwa mshamba pia
 
Naona unataka kumpotezea muda tu kijana wa watu, umeshaanza kuonyesha wasiwasi bado mapema hata ukiingia kwenye mahusiano hutakuwa comfortable, to me kama kweli unampenda nadhani ungembadilisha taratibu na ninadhani angebadilika tu. Kama hauko comfortable nae usijaribu kuingioa kwenye mapenzi
 
kama hamuendani kabisa manake kuwa nae ni wewe "kumsaidia yeye" na siyo wewe na yeye kuishi mapenzi. kwakuwa una wasiwasi au unauhakika upeo wake ni wa chini, hutaweza kumuweka hadharani, hutapenda achangie wazo mbele ya watu wako. hapo utamuumiza, na mtaishia pabaya. leave him. ila usimwambie kuwa unakataa kwasababu ya upeo wake mdogo. usiseme hilo kamweeeeeeeeeeee
 
tell him bwana!
Atajifunzaje? Kama hutamwambia??
Inauma xana nlimuacha my gal coz hakutaka kujihusisha na any electronic device nkamchukulia mshamba alafu nov. atagraduate her first dgree in ICT.. Gaaaash!
Take care yaskukute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…