Inawezekana kuwa na shahada ya kwanza zaidi ya moja nchini?

blackdread

New Member
Joined
Apr 3, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Je, sheria ya elimu ya juu Nchini inamruhusu mtu kumiliki shahada mbili katika tahasusi mbili tafauti yaani niwe na degree ya Civil engineering kutoka UDSM halafu niende zangu CBE kuchukua bachelor ya Business Management

Naomba kufahamu kwa watu wanaoifahamu au kujua watu ambao washawahi kufanya hivi kiufupi nahitaji ushuhuda au anayejua taarifa
 
Inawezekana bila shida yoyote.
 
Hata 1000 kama utaweza mudu. Kuna mzee nasikia alikuwa anapiga zaidi ya mbili kwa wakati m'moja na alitoboa zote.
 
Back
Top Bottom