blackdread
New Member
- Apr 3, 2024
- 2
- 0
Inawezekana bila shida yoyote.Je, sheria ya elimu ya juu Nchini inamruhusu mtu kumiliki shahada mbili katika tahasusi mbili tafauti yaani niwe na degree ya Civil engineering kutoka UDSM halafu niende zangu CBE kuchukua bachelor ya Business Management
Naomba kufahamu kwa watu wanaoifahamu au kujua watu ambao washawahi kufanya hivi kiufupi nahitaji ushuhuda au anayejua taarifa
Janabi mwenyewe anasoma bachelor hamna kipingamiziHaina kipingamizi mkuu. Hata ukiwa na PhD unaweza fanya shahada nyingine!