Inawezekana kuzima Sabufa au TV ukiwa mbali kwa kutumia mfumo wa GPS or GSM track?

Njiwa wangu

Senior Member
Joined
Dec 5, 2020
Posts
146
Reaction score
289
Habarini wadau,

Naomba kuuliza inawezekana kuzima sabufa au tv ukiwa mbali kwa kutumia mfumo wa gps or GSM track ? Je nini kinahitajika hapa na je unaweza andaa enterface kama site fulani hivi kwa ajili ya kuvifuatilia na endapo kuna mtu anatumia kwa makubaliano fulani asipotimiza mashart unamzimia?

Karibuni wajuvi na kama upo vizuri na unazurura mtaani huna kazi njoo PM tuyajenge.
 
Hapa sijajua bado kama inawezekana kuzima Tv kwa kutumia GPS, Kwenye gari huwa tunaweka relay kwa ajili ya kuzima, Kama huko tayari kujaribisha , njoo tuyajenge
 
Kwa sasa tunatoa huduma za kufunga GPS tracker kwenye TV
 
Kama Tv ni ya android ama sabufa ya android ama iwe na software yoyote ya usmart unaweza ku configure remote software design ya team viewer ama any desk na zifananiazo, as long as hio TV ama kifaa chako kipo connected na internet utaweza kuki control mahala popote pale.
 
Ok, umenena mkuu, utanisaidiaje sasa mkuu hapa
 
Kama Tv ni ya android ama sabufa ya android ama iwe na software yoyote ya usmart unaweza ku configure remote software design ya team viewer ama any desk na zifananiazo, as long as hio TV ama kifaa chako kipo connected na internet utaweza kuki control mahala popote pale.
Ok, umenena mkuu, utanisaidiaje sasa mkuu hapa
 
Hapa sijajua bado kama inawezekana kuzima Tv kwa kutumia GPS, Kwenye gari huwa tunaweka relay kwa ajili ya kuzima, Kama huko tayari kujaribisha , njoo tuyajenge
Kama ni kufunga tu ya za kitrack tu na sio kizima hiyo naweza ila ya gari ndio bado na kama utakuja nikupe kazi ya kufunga za kwenye gari karibu tuyenge ila gps nanunua mwenyewe na line ninazo mwenyewe sihitaji uje uniuzie gps laki mbili sijui wakati naagiza mwenyewe haizidi 60 elfu na line za simu nimesajili zaid ya 1000
 
Kuna jamaa anaitwa FRANK WAYA huyu jamaa anatokea MBEYA anaweza kufanya yote hayo, hata umeme wa nyumbani anaweza kuwasha taa zote kwa kutumia simu akiwa mkoa wowote, mtafute Facebook, jamaa yupo vizuri nakuhakikishia
 
Back
Top Bottom