Njiwa wangu
Senior Member
- Dec 5, 2020
- 146
- 289
Hapa sijajua bado kama inawezekana kuzima Tv kwa kutumia GPS, Kwenye gari huwa tunaweka relay kwa ajili ya kuzima, Kama huko tayari kujaribisha , njoo tuyajengeHabarini wadau,
Naomba kuuliza inawezekana kuzima sabufa au tv ukiwa mbali kwa kutumia mfumo wa gps or GSM track ? Je nini kinahitajika hapa na je unaweza andaa enterface kama site fulani hivi kwa ajili ya kuvifuatilia na endapo kuna mtu anatumia kwa makubaliano fulani asipotimiza mashart unamzimia?
Karibuni wajuvi na kama upo vizuri na unazurura mtaani huna kazi njoo PM tuyajenge.
Kwa sasa tunatoa huduma za kufunga GPS tracker kwenye TVHapa sijajua bado kama inawezekana kuzima Tv kwa kutumia GPS, Kwenye gari huwa tunaweka relay kwa ajili ya kuzima, Kama huko tayari kujaribisha , njoo tuyajenge
Ok, umenena mkuu, utanisaidiaje sasa mkuu hapaKama Tv ni ya android ama sabufa ya android ama iwe na software yoyote ya usmart unaweza ku configure remote software design ya team viewer ama any desk na zifananiazo, as long as hio TV ama kifaa chako kipo connected na internet utaweza kuki control mahala popote pale.

Kama ni kufunga tu ya za kitrack tu na sio kizima hiyo naweza ila ya gari ndio bado na kama utakuja nikupe kazi ya kufunga za kwenye gari karibu tuyenge ila gps nanunua mwenyewe na line ninazo mwenyewe sihitaji uje uniuzie gps laki mbili sijui wakati naagiza mwenyewe haizidi 60 elfu na line za simu nimesajili zaid ya 1000Hapa sijajua bado kama inawezekana kuzima Tv kwa kutumia GPS, Kwenye gari huwa tunaweka relay kwa ajili ya kuzima, Kama huko tayari kujaribisha , njoo tuyajenge
Ndio utaje model ya TV ama sabufa kama ni smart ama sio.Ok, umenena mkuu, utanisaidiaje sasa mkuu hapa
Ni smart mkuuNdio utaje model ya TV ama sabufa kama ni smart ama sio.