Inawezekana kweli?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Eti wataalam wa J.f naomba mniweke sawa hapa kilo zangu ni 67 huu mwaka wa Tano haziongezeki wala kupungua....naomba kama kuna mtu imemtokea hivi aniambie ili nijue au zimestack ,Afya yangu ni njema Tu wala sina wasiwasi na hilo..Huwa nafanya Full body check up.
 
Una umri gani..?? Maana kilo huwa zinaendana na umri pia sometimes
 
Inawezekana ndugu hats mimi nilikuwa na kilo 70 mwaka Wa 6 huu. Lakin kama wiki moja nyuma nilipima nina kilo 70 nikaa siku tatu au NNE mbele nikapima tens nina kilo 71 baada ya Siku NNE tena nikapima nina kilo 72 na vipimo vyote hivyo hutumia mizan ya aina moja tu. Hili si tatzo ndan ya siku chache kuongezeka kilokilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…