Inawezekana kweli?

MulRZGM

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
1,015
Reaction score
747
Umu JF, inaonekana members wote washawah kukutana ana kwa ana n wakafahamiana, icpokua mimi tu ndo cjawah kukutana wala kuonana n member ata m1 umu....

Hii inawezekana kweli niwe mimi tu?

Au kuna wengine walio kam mm pia....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko kama mimi. Ninaowafahamu hapa ni wale verified users wanaotumia ID za ukweli, lakini ID fake zote hakuna ninaemfahamu humu, isipokuwa kuna dada mmoja anajiita (flani) nahisi nilisoma nae, maana hata FB yake kwenye nickname alikua anatumia Id kama ya humu.
 
Upo sahh, kna wny id feki umu inavoonekana...

Af mtu kama Daby mfano,

uyu jamaa kabla ya kumfaham umu JF, I gues nshawah kumuona somewhere bt nlivomwambia akakataa katu katu yan... Na nmemtambua kupitia avatar yke, asa cjui ile cyo sura yke au vp....

Mana sura ya kwny ile avatar yke nimeshawah kuiona perfect vision kwa kadeghe akiwa pupil, tena jamaa alikuaga n vtuko kwel....

Badae alikuja kuhamia kwny siasa n nakumbuka kuna taarfa 1 ya hbr ktk televshn flan nlimuona akihojiwa iv...

Ila anakana kbsaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] watu wanaweka avator feki usiziamini...ni ngumu na ni wachache wanaoweka sura zao hapa
 
Imani ni bayana ya mambo yatalajiyao.
Kuwa na imani tu inawezekana
 
Kabla hujaniona niambie hapa naonekaje?
Yan mtu wa dizain gani
Unaonekana kabinti dot com mfano wa promo. Ukitembea unadunda kishikaji, ear phone nyeupe zilizoziba masikio yote kana kwamba usalama barabarani haukuhusu. Unapenda kuvaa simpo za kichina, na kitopu cheupe, achilia mbali kile ki mini skirt kinachoonyesha robo tatu ya hips na kusababisha wanaume wapambane na hali zao kila unakopita!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…