Njoo arusha bas unioneMpole, simple sio wa maneno mengi sana,
[emoji777] [emoji777] [emoji777] [emoji777]
Nina mshikaji wangu anaitwa somebody Inna,inawezekana na ww ni mwanafamilia etiiNjoo arusha bas unione
[emoji15] labda inawezekanaNina mshikaji wangu anaitwa somebody Inna,inawezekana na ww ni mwanafamilia etii
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mm naomba tufahamiane zaidi kama uzi unavyojieleza[emoji15] labda inawezekana
[emoji3] [emoji3] vunga bas maksi zako ni 100Hoooh! Inna usitake nilete ushahidi hapa shauri yako. Nipe marks zangu ili nisije toa siri hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeeeeeeeeeeessssss! Sasa wewe ndo mwalimu mdhuri wa twisheni. Kila siku nitafaulu mtihani wako.[emoji3] [emoji3] vunga bas maksi zako ni 100
Ha ha ha ha...awe sukari yetu atawaona wengi tyuNey bright, Maserati, miss chagga, Lady furahia, Heaven Sent njooni pande hii kuna mtu anataka kuwajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Io avatar kwan ndyo ww?Ha ha ha ha...awe sukari yetu atawaona wengi tyu
Njoo arusha bas unione
Wow that's cute... Asante!Wengi tu umekutana nao ila hujui kama wako humu, mimi situmii vitu feki, id na avatar ni mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Yohanne piaUnataka kukutana nan? Mtafute lisu ukutane naye maana hata yeye ni mwana jamiforum
Sent using Jamii Forums mobile app
UCKONDE TUKO PAMOJA MKUUUmu JF, inaonekana members wote washawah kukutana ana kwa ana n wakafahamiana, icpokua mimi tu ndo cjawah kukutana wala kuonana n member ata m1 umu....
Hii inawezekana kweli niwe mimi tu?
Au kuna wengine walio kam mm pia....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana
Kwan ww io ni ya ukwel?sisi tulioweka avatar za ukweli ni kwa nini sijapata mtu akaniambia ameshawahi kuniona sehemu?