Nikikutajia waganga og waliofanikiqa kupitia uganga utakubali ama utakataa?
Kwanza uganga na uchawi ni mapacha Kwa namna ambavyo naweza kukuambia Mimi.
Sasa iliuwe mganga mkubwa lazima uwe na mizizi(dawa) haswa na dawa hizo huambatana na kununua vichanganyio kadhaa wa kadhaa ambacho Huwa na bei kubwa mno.
Husikii albino wanakufa? Hujasikia maiti imenyolewa nywele ama baadhi ya viungo hawajavikuta?
Mengi ni Siri. Mganga anatajirika kulingana na wateja anao pata. Kama anapata wanasiasa huyo atatajirika.
Ukiwa huna wateja wenye pesa maana yake ni ngumu kwani hivyo vichanganyio wewe itakubidi uwe unatoa Hela kubwa sana Ili kuvipata asa akija mteja ana Hela ndogo ni lazima umtibie ukiwa na Imani ya kuwa akifanikiwa atarudi.
Matokeo yake akifanikiwa anaweza ambiwa mganga mkubwa zaidi Yako yule aliye tamani kwenda kipindi Hana Hela! Na Sasa amepata na ataenda!
Waganga wanatofautiana wapowenye uganga wa masharti ya kafara Hawa utajiri ni Nje Nje. Nk.